Rais wa  Heshima wa Timu ya Barcelona Kocha Johan Cruyff, akizungumza na  waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar alipofika  uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.
Kikosi cha  Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Barcelona wakiwa katika picha ya pamoja  baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakitokea  Arusha , wakiwa Zanzibar kwa Mualiko wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kutembelea Zanzibar  kujionea Vivutio vya Utalii na kujionea Vipaji vya Wachezaji Vijana  wanaocheza katika timu mbalimbali za Watoto.
Waandishi  wa habari za michezo Zanzibar wakiwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa  kuipokea Timu ya Wachezaji wa Wazamani wa Timu ya Barcelona 
Kikundi cha  ngoma wakitowa burudani wakati wa ujio wa Wachezaji wa zamani wa timu  ya Barcelona Zanzibar. kwa ziara ya siku moja Zanzibar. kwa mualiko wa  Rais wa Zanzibar Dk Shein.
Viongozi wa  Vyama vya Mpira Zanzibar wakiwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa  wakiipokea timu ya Wachezaji wa zamani wa Barcelona walipowasili  Zanzibar. 
Ndege ya  Serekali ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani  Karume ikiwa na Wachezaji wa Mastar wa Zamani wa Barcelona wakiwasili  Zanzibar kwa ziara ya siku moja kwa mualiko wa Rais wa Zanzibar Dk Ali  Mohemed Shein, na kujionea Vipaji vya Wachezaji wa timu za Watoto katika  uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mwenyekiti  wa Baraza la Taifa la Michezo Zanzibar Bi Shery Khamis akisalimiana na  mchezaji nyota wa timu ya wachezaji wa zamani wa Barcelona Kulvert  alipowasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara  ya siku moja Zanzibar. 
Wachezaji  Nyota wa Timu ya Barcelona wakisalimiana na Viongozi wa Vyama vya  Michezo Zanzibar baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa  wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya siku moja kwa mualiko wa Rais wa  Zanzibar Dk Shein.