KIMENUKA-MBOWE ABULUZWA POLISI NA ZITTO,SOMA HAPA KUJUA






        Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu FREEMAN MBOWE amefikishwa kituo cha polisi leo asubuhi tarehe 11/04/2015 kwa kosa la kumtumia ujumbe mfupi wa maneno SMS alie kua mbunge wa KIGOMA kaskazini kupitia Tiketi ya Chadema ndugu ZITTO ZUBERI KABWE ambae kwasasa ni mwanachama wa ACT WAZALENDO.

Kwa mujibu wa ZITTO KABWE hakufurahishwa na kauli za maandishi yaliyo andikwa katika ujumbe huo na kikubwa zaidi kilichopelekea ZITTO KABWE kutoa taarifa polisi ni kauli iliyoandikwa katika SMS hiyo ikimuelezea ZITTO KABWE kua ni Kibaraka wa CCM na chama cha ACT wamekianzisha kama daraja la kuvuka kwa yeye kwenda CCM.






Kwa mujibu wa maelezo ya Zitto Kabwe alipo wasiliana na waandishi wa habari kutoka kituo cha BBC alisema kua
"NIMEPOKEA UJUMBE WA SMS KATIKA SIMU YANGU UJUMBE AMBAO SIO MZURI KIUKWELI NA UJUMBE UNAONESHA KUA UMETOKA KWA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE NAAMINI UJUMBE UMETOKA KWAKE KWAKUA NAMBA YAKE YA SIMU NINAYO NA NILI SAVE KATIKA SIMU YANGU YA MAWASILIANO KWA JINA LA MKT. MBOWE KWA MAANA YA MWENYEKITI MBOWE HIVYO NILIVYOPATA UJUMBE JINA LILITOKEA HILO LA MTUMAJI NA KUJUA UJUMBE UMETOKA KWAKE NA NILIPO ANGALIA CENTER NUMBER IMETUMIKA YA VODACOM NIKAJARIBU KUMPIGIA HAKUA AKIPOKEA SIMU ZANGU LENGO LA KUMPIGIA NI KUTAKA KUPATA USHAHIDI NA UHAKIKA ZAIDI WA SAUTI YAKE LAKINI HAKUA AKIPOKEA SIMU ZANGU NDIPO LEO ASUBUHI NIKAWASILISHA HII KESI KATIKA VYOMBO VYA SHERIA ILI KUWEKA USALAMA JUU YA JAMBO HILI NIMEUMIA SANA KUAMBIWA MIMI NI KIBARAKA WA CCM PIA NIMEAMBIWA KUA NIMEJIUNGA ACT WAZALENDO KAMA DARAJA TU KUWAHADAA WANANCHI ILI NIHAMIE CCM"Hayo ndio maneno ya ZITTO KABWE. Alipo tafutwa Freeman Mbowe alizungumza haya yafuatayo
image

"KWA SASA SIPO TAYARI KUZUNGUMZIA HILO KATIKA VYOMBO VYA HABARI YEYE ZITTO SI AMELIPELEKA KATIKA VYOMBO VYA USALAMA? BASI NAOMBA TUWAACHIE WANASHERIA WAFA