Baada ya Watu Kuponda, Huu Ndio Msimamo wa Wolper Kuhusu Kipini Chake Puani





“Wapenzi mnaotukana kisa nimevaa kipini kwa pua msipoteze muda hiko akitoki ndo kimeshafika zaidi nitakua tuu na badilisha leo cha njano kesho chekundu, why mnakua wagumu kuelewa  kinipendeze kisinipendeze ni mimi so please msinijazie comment za zamatusi nakukosoa  kwenye picha zangu kama nyie ndo wavaaji sitaki ushauri sitaki jamani pipo chilaaax me nakipini dam dam...  in love with my kipini najikuta jacq khan mwenzenu kila nikijitizama....Am so soleee. Nawapenda sana napenda ushauri lakini kipini kiacheeni pua kitasharikiana na pua na uso kushauriana kwamba leo kivaliwe au kisivaliwe lakini siyo wewe mtukanaji ok byeeeee”-Wolper amebandika andiko hilo kwenye ukurasa wake mtandaoni.

Nadhani ameeleweka, wale wanaomshabulia kwa lugha kali muache jamani.