Mcheza Filamu Bongo Movies Aingia Katika Kashfa Nzito ya Kuwadanganya Wadada wa Mikoani na Kuwatumia Kimapenzi
Ubuyu Kutoka Insta Leo hii unamuhusu Mcheza Filamu Rammy ...Page ya Mrekebisha Tabia wamemrusha na kufichua makubwa...Jisomee Mwenyewe Hapo chini:
"Jamani @rammygalis hata wewe? Nilikupenda nilipoona ulivoigiza ile movie ya CHAUSIKU nkakuona bonge la mtanashati, kipaji kipo lkn hizi tabia unazofanya za kutongoza wasichana kupitia mitandao ya kijamii unawaambia utawapa nafasi ya uigizaji unawafanya halafu unaingia mtini zimenichefua sana!!!....wasichana wengine unawatoa hadi mikoani unawatelekeza hotelini ukishawafanya hawakuoni tena... Unabisha????? Haya sasa na yule dada mwingine mliyewasiliana kwa facebook ukamuita kutoka Mbeya akaja dar kwa lengo la kuigiza movie alipofika dar ukampangia hoteli maeneo ya Ubungo. Ulikaa nae siku hiyo moja tu akamfanya then hurudi tena pale hotelin yule dada kila alipokuwa anakupigia simu unamdanganya utaenda mwisho wa siku hukutokea wala hakukuona tena mpaka alipotafuta msaada wakurudi kwao na hotelin alikuwa anadaiwa Manager wa hotel ikabidi amsamehe tu deni lake
This is HAPANA Rammy!!! Uache kabisa...na wengine mlio na tabia hizo chafu tutawapata tu ili iwe fundisho kwa wengine.
Pia wasichana nyie mnaniliza hadi basi why jaman!! Umvulie nguo mtu ili upate kazi...halafu unaambulia kulalwa na kazi hakuna. Hivi mnajua UKIMWI bado upo? Na mpaka sasa bado dawa haijapatikana?"
source>>udakuspecially