PICHA Zingine za HAMISA Mobeto Alizozoachia Zikimuonyesha Alivyokuwa Mjamzito wa Miezi TISA







Picha za mwanamitindo  ambaye pia amewahi kucheza filamu kadhaa, Hamisa Mobeto akiwa na ujauzitoo zimewashangaza wengi leo huko kwenye mtandao wa Instagram  kwani sio tu ameonenaka na   ujauzito bali habari zilizotoka na picha hizo ni kwamba mwanadada huyo tayari ameshajifungua mtoto wa kike siku kadhaa zilizopita.





Tofauti na mastaa wengi , ujauzito wa staa huyu ulikuwa siri na wengi hatukujua. Hongera sana Hamisa Mobeto.