Picha Feki ya Nyoka Mkubwa Anayesemekana Kukutwa kwa Diamond






Ukisikia mitandao wakati mwingine mibaya, kuna watu wenye nia mbaya wametengeneza picha ya nyumba ya Diamondi ikionyesha kuwa anafuga nyoka mkubwa. Picha hii kwa sisi wataalamu wa uchoraji inaonekana kuwa ni ya kutengeneza kwani kuna vielelezo macho vinavyoashira kuwa ni ya kuchonga




Huyu mtu ameshindwa ujanja mdogo wa kutengeneza kivuli, kwa sababu nyumba inaonyesha kivuli, mtengenezaji amembanananisha sana na ground floor wakati nyoka huwa ni wa mviringo , kuna mambo wengi tu yakuonyesha kuwa amefeli.

Ni hayo wasimwonee wivu mtoto wa wenzie, kapata kiharali.