Muswada wa mahakama ya kadhi umeondolewa rasmi hivyo hautojadiliwa bungeni. Katibu wa bunge Thomas Kashilila amesema kuwa muswaada huo hautakuwepo kwenye ratiba za bunge badala yake nafasi hiyo itachukuliwa na miswaada mingine kujadiliwa.
Source: Gazeti Uhuru