Google Kuzima Simu za Watumiaji wa Android kwa siku 21 au Zaidi Kuanzia Leo Usiku





Android OS ni moja kati operating system iliyozidi kusambaa duniani kote huku ikiwa na mpinzani mkubwa sana ambae ni iOS mara baada ya OS nyingine kutofanya vizuri.




Taarifa zilizotelewa na Google ambao ni wamiliki wa Android OS wamethibitisha kwamba kuna malware ambao waliweza kuwa backdoored ktk Android Kernel yaani Linux kernel ambayo imeweza kusababisha security hole flow katika device hizo zitumiazo Android.

Hivyo basi Google kama wamiliki wa android wanalazimika kuzima simu baadhi zitumiazo OS yao kwa muda usiopungua siku 21 yaani wiki tatu... Au pungufu ya hapo ili kuweza kufanya marekebisho na kutoa update kwa kila device ambapo user ata update mwenyewe.

Ni taarifa yakusikitisha sana kwasabu wale wapenzi wa Instagram, Facebook na whatsapp litawacost suala hili.




Tembelea hapa kuona kama simu yako inaweza kuzimwa kupitia operation hii List of all smartphones which will face the issue