MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo.
Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza maana wachawi ni wengi.“Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini hapa wachawi ni wengi, mambo yakiwa freshi kila mmoja atamjua,” alisema Lulu.