Swahili Fashion mwaka jana ambapo Jack maarufu kama K-lyn alishinda tuzo ya mwanadada mwenye mvuto zaidi nchini.
Friday, January 16, 2015
Wajue wadau wa fasheni bongo
Katikati ni Jaquiline Ntuyabaliwe, kushoto kwake ni Nancy Sumari huku kulia ni Luka ambae ni mmiliki wa Bongo5blog na ni ndio mumewe Nancy, hapo ilikuwa ni wakati wa onesho la mavazi la