Part two ya Valentine's Lady in Red fashion show




Mbunge wa Bunge la Katiba, Maria Sarungi akiwa na Asia mwandaaji wa onesho hilo

Ahaa!!! Asia kumbe ana mtoto mkubwa hivi naona amebeba Camera inaelekea nae ni mdau wa blog huyu





   Hey Miss Tanzania jamaa ndo huyu au? 






Ze gongoz

Asia na mwanawe

Mbunifu wa mavazi

Jamaa yeye alitupia kaptura na nyekundu nyekundu kibao kuanzia kiatu

Maria Sarungi na Miss Universe