Home » Uncategories » VIJANA WAZUNGUMZIA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Monday, January 12, 2015
VIJANA WAZUNGUMZIA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Msanii Kala Jeremiah akiwa kwenye pozi baada ya kuzungumzia Mapinduzi ya Zanzibar.
KIWA leo ni sherehe ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, baadhi ya vijana katika jiji la Dar es Salaam wametoa maoni yao kuhusu sherehe hizo.
Msanii wa muziki Kala Jeremiah ni miongoni mwao
ambapo alisema: “Mapinduzi hayo ni sherehe ambayo inatukumbusha jitihada walizofanya viongozi wetu kwa kuikomboa Zanzibar kutoka kwa watawala wan je lakini