Home » Uncategories » MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AONDOKA RASMI KUELEKEA JIJINI MIAMI KWENYE FAINALI ZA DUNIA
Monday, January 05, 2015
MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AONDOKA RASMI KUELEKEA JIJINI MIAMI KWENYE FAINALI ZA DUNIA
Mrembo wa miss Universe Tanzania 2014,Carolyn Bernard ameondoka rasmi nchini kuelekea nchini Marekani kwenye fainali zadunia za Miss Universe zitakazofanyika jijini Miami tarehe 25 mwezi huu wa januari