Uzinduzi wa
siri ya mtungi season II ndani ya ukumbi wa Century Cinemax Oysterbay
wafana hapa ni kati ya washiriki wakipata ukodak wa pamoja na wafadhili
waliofanikisha Episode hii kukamilika na kuwa hewani. Wafadhili hawa ni
kutoka Marekani na ndiyo chachu ya Episode hii kukamilika na kuiwezesha
kuwa hewani hili watu wajifunze kilichopo ndani yake.
Vyombo vya
habari pamoja na Camera ya Vijmambo vikiwajibika hili kuwajuza
kilichokuwa kimefanyika ndani ya ukumbi huu wa Century Cinemax.
Juu na chini
washiriki wa Episode hiyo wakibadirishana mawazo huku pia wakiendelea
kuangalia walichokifanya ndani ya Episode hiyo.
Ni mambo ya ukodak tu mwanzo mwisho hili kutunza kumbukumbu kwa washiriki wa Episode hiyo
Starring
wa Episode hiyo bwana Juma Rajabu aka Cheche akiongea mbele ya camera
juu ya nini alichokifanya ndani ya Episode hii ya siri ya mtungi. Kwa
picha zaidi jitiririshe kwa kubofya soma zaidi. |