Rais Jakaya
Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam
Novemba 02, 2014
Rais Jakaya
Mrisho kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kumuapisha
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma
Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014
Rais Jakaya
Mrisho kikwete akimkabidhi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad nyaraka baada ya kumuapisha Ikulu
jijini Dar es salaa Novemba 02, 2014
Rais Jakaya
Mrisho kikwete akimuangalia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad akiweka sahihi yake kwenye
nyaraka baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014
Rais Jakaya
Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
(CAG) Profesa Musa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick Utouh Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 02, 2014
Rais Jakaya
Mrisho kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu
Mhe Mizengo Pinda, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Spika Anne
makinda na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es
salaam leo Novemba 02, 2014
Rais Jakaya
Mrisho kikwete katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na wafanyakazi wa ofisi
ya CAG Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014
Rais Jakaya
Mrisho kikwete akiwa na familia ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam
Novemba 02, 2014