SAMANTHA WA BBA KUTUA DAR

Mshiriki wa BBA kutoka Afrika Kusini, Samantha.
SAMANTHA KUTUA DAR: Mshiriki wa BBA kutoka Afrika Kusini, Samantha leo anatarajiwa kutua nchini kuungana na mshindi wa Mil. 514 za shindano hilo, Idris Sultan!