HICHI NDICHO ALICHOANDIKA MKE WA DR SLAA KUHUSU CCM






kauli  ya  mke  wa  Dk  SLAA  KUPITIA  UKURASA  WAKE  WA   FACEBOOK



Risala fupi ya marehemu CCM: Marehemu CCM alizaliwa 05/02/1977. Enzi za uhai wake marehemu alijishughulisha na kuua mazao ya biashara ya Pamba,Tumbaku,Kahawa, Korosho na Katani. Marehemu pia atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kuua viwanda vya Mwatex,Mutex,Kiltex,Ufi,Bora Tanelec, Mgololo,Tanganyika Packers,Viwanda vya maziwa. Pia aliwaleta na kuwapa wageni mali za waTZ. Ameacha Wachina kariakoo,Waarabu loliondo,Makaburu mererani na Wazungu wa kila aina kwenye migodi yote ya madini na gesi. Marehemu ameacha Mme 1 CHADEMA na watoto 3 UDP,NCCR na TLP. Shetani amuweke motoni milele Amen.