Ofisa wa Upelelezi wa Ilala, Daivd Mnyambunga katikatia akijadiliana jambo na viongozi wa CCM akiwaambia kuwa inatakiwa waondoke |
Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Ernest Charles akiwasihi wafuasi wake wa CCM kuondoka |
Polis wakiwa wanajiandaa kwa kazi |
Hapo Cuf walianzisha muzikii wakitaka kuruhusiwa kuendelea na shughuli zao za mkutano |
Mkuu wa Habai na Uenezi wa CUF,Mkuu wa Habari na Uenezi wa Taifa wa chama hicho, Abdul Kambaya
|
Huyu jamaa alianza kujiandaa kwa mapambano akikunja suruali |
Mkuu wa upelelezi wa Ilala akaamua kumwambia aliekuwa akichezesha nyimbo wa CCM kuzima muziki haraka sana |
Akasimamiwa kuhakikisha kuwa kazi inafanyika na ndipo alitii na kisha wanachama wa CCM kutimka |
Polis waliendelea kuimarisha doria la nguvu |
CCM haooo wakapanga viti vyao na kuondoka |
Polis wakaendeleza doria |
Cuf wakifurahia hatua ya Polis |
Wananchi wakishangaa |
Wanamama wa CUF wakaanza kujimwayamwaya na muziki wao |
Hao walikuwa CCM kabla ya kutimuliwa |