Basi la Mbukio Missio muda mfupi baada ya kupata ajali eneo la Mlima Nyoka mkoani Mbeya leo.
Lori la mafuta lenye namba za usajili T 332 AGA ambalo dereva wake Godfrey Lyimo (33) alijeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi. Pichani lori hilo la mafuta liliwa limepinduka.
Wananchi wakiwa eneo la ajali.
Taswira kutoka eneo hilo la ajal