MACHINGA DAR WASAMBARATISHWA KWA MABOMU YA MACHOZI KARUME
Baadhi ya wananchi na machinga wakikimbia.

Hali ilivyokuwa baada ya kutawanywa.
ENEO la Karume jijini Dar es Salaam jana
lilirindima kwa mabomu ya machozi kufuatia polisi na askari wa jiji
kuwatawanya wafanyabiashara wadogo (machinga) katika eneo hilo
linalosadikiwa kutumika kinyume na taratibu.