JIONEE MAFURIKO BAGAMOYO BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA


Hizi ni picha tofauti zikienesha taswira ya mvua iliyonyesha Bagamoyo alfajiri ya leo na kusababisha mafuriko. Hayo ni maji yaliyojaa stendi ya mabasi ya Bagamoyo