Baada ya hayo kuna baadhi ya stori zimekua zikitambaa kwamba Martin Kadinda ndio amehusika kuwaachanisha Diamond na Wema Sepetu ambapo aliamua kujibu kwa kuandika hivi kwenye instagram >>> ‘Siwezagi kujibizana.. Ila i gat people who can do that…. Namleta kwenu bingwa wa kutusi watu… Mimi nimemwachanisha wema na chibu ahahahahahaa ahahhahahaha ahahahahaha walaaahi naona raha.. We Nasri that powerful couple ambayo haijawahi kutokea tz na haitakuja kutokea iachanishwe na mimi fundi makoti?? Team kadinda mpeni what he deserve…..’
Sunday, November 23, 2014
Zile stori za Instagram, maneno ya meneja wa Wema Sepetu kuhusu kumwachanisha na Diamond