Wachezaji
wa timu ya England wakishangilia baada ya mechi yao dhidi ya Scotland
kumalizika. Katika mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa uliopigwa usiku
wa kuamkia leo, England walishinda kwa mabao 3-1.
Kapteni wa Scotland, Scott Brown (kushoto) na wa England, Wayne Rooney (kulia) wakisalimiana kabla ya mechi.
ENGLAND imewalaza wenyeji Scotland mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa kuamkia leo.Wafungaji wa mabao ya England, Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 32 na Wayne Rooney aliyefunga mabao mawili dakika za 47 na 85, wakati bao pekee la wenyeji lilifungwa na Andrew Robertson dakika ya 83.
Scotland: Marshall/Gordon dk 46, Whittaker, R Martin, Hanley/May dk 66, Robertson, Maloney, Mulgrew, Brown/D Fletcher dk 46, Anya/Bannan dk 61, C Martin/Morrison dk 46 na Naismith.
England: Forster, Clyne, Cahill/Jagielka dk 46, Smalling, Shaw/Gibbs dk 66, Oxlade-Chamberlain, Milner, Wilshere/Barkley dk 87, Downing/Lallana dk 46, Rooney na Welbeck/Sterling dk 46.
Matokeo mengine
FT Japan 2 - 1 Australia
FT Thailand 2 - 0 New Zealand
FT China 0 - 0 Honduras
FT Iran 1 - 0 South Korea
FT Slovakia 2 - 1 Finland
FT Belarus 3 - 2 Mexico
FT Greece 0 - 2 Serbia
FT Slovenia 0 - 1 Colombia
FT Austria 1 - 2 Brazil
FT Estonia 1 - 0 Jordan
FT Romania 2 - 0 Denmark
FT Ukraine 0 - 0 Lithuania
FT Hungary 1 - 2 Russia
FT Ireland 4 - 1 USA
FT Italy 1 - 0 Albania
FT Poland 2 - 2 Switzerland
FT Portugal 1 - 0 Argentina
FT Spain 0 - 1 Germany
FT France 1 - 0 Sweden