ibu Mkuu wa Chadema Dk,Slaa akivishwa koja la maua na mtoto aliyweandaliwa katika sherehe za mapokezi ya Viongozi hao walipowasili uwanja wa ndege Pemba kwa ziara yao na kuzungumza na wanachama wao
Ngoma ya Kibati ikitumbuiza mapokezi ya viongozi wa Chadema huko Pemba
Katibu mkuu wa Chadema Taifa.Dk Slaa akiwahutubia Wanachama wa Chadema huko
katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya FidelCastro Pemba.





