Ogudugu alifichua hilo akiongea na gazeti la Ynaija hivi karibuni, ambapo aliendelea kusema kwamba baada ya kufanya naye mapenzi mara moja hakufahamu kwamba tayari alikuwa na ujauzito ambao haukuufahamu hadi miezi kadhaa ilipopita.
Alisema alipogundua ana ujauzito alichanganyikiwa, kwani alikuwa…

Ogudugu alifichua hilo akiongea na gazeti la Ynaija hivi karibuni, ambapo aliendelea kusema kwamba baada ya kufanya naye mapenzi mara moja hakufahamu kwamba tayari alikuwa na ujauzito ambao haukuufahamu hadi miezi kadhaa ilipopita.
Alisema alipogundua ana ujauzito alichanganyikiwa, kwani alikuwa katika mwaka wa mwisho wa masomo yake chuo kikuu. “Kwa kweli nilichanganyikiwa sana. Nilikosa furaha. Wewe fikiria unapokuja kugundua baada ya muda mrefu kwamba una ujauzito!” alisema Ogudugu.