Thursday, May 28, 2015 Mbowe: Lowassa ni Dhaifu, Na ni Bubu wa Kukemea Ufisadi Mbowe Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi. Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA. Source:Tanzania Daima