Wasira Atoa Mpya 'Staili Yangu ya Koti Imenipa Umaarufu Hadi Naweza Pata uraisi'





Wassira
Duh! Watu wanaona mbali sana asee...Mh. Stephen Wasira amesema ile picha aliyokosea kufunga kifungo, imempa umaarufu kiasi kwamba anaweza kupata Uraisi.

Ukute alifanya makusudi mjue.