SIRI YA CCM YAVUJA,SOMA HII--->>





Mbunge wa Vunjo, Augustino Mrema

MKAKATI wa siri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), “kulazimisha” kura ya maoni ya “Ndiyo” kwa Katiba Inayopendekezwa umevuja.

Hatua hiyo inakuja wakati ambapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), iko shakani kukamilisha kwa wakati uandikishaji wa wapigakura kwa mfumo wa Biometric Voters’ Registration (BVR).
Kura ya maoni imepangwa ifanyike Aprili 30 mwaka huu; ambapo CCM tayari imeunda kamati mbili za kitaifa na jimbo ili kufanikisha mkakati huo.
Kamati hizo zitawashirikisha makundi ya watu anuai, vyama vya siasa, Asasi zisizo za kiserikali; na wanaoitwa “wadau na wakereketwa wa Katiba Inayopendekezwa” japo wenyewe hawana taarifa hiyo........BOFYA HAPA chini>>>