Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika Peke Yangu Wanawake Wenzangu Hamnitetei--->>






Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Chanzo: Wapo Radio fm