|
Lowassa |
Akiongea mbele ya wachungaji wa madhehebu mbalimbali ya kikristo waliokwenda kumshawishi agombee urais wa Tanzania, Lowassa amesema hawezi kumjibu mtu aliyebwabwaja katika magazeti kuwa anakusanya watu eti kwa lengo la kupata uungwaji mkono! Amesema akimjibu atampa ujiko hivyo amemdharau!
Katika magazeti ya leo yalimnukuu Makamba akidai kuwa kuna watu wanatumia fedha zao kusafirisha na kuwalipa watu ilikujionyesha mbele ya jamii kuwa wanashawishiwa kuomba urais!