G Nako ana hizi sentensi sita kuhusu Lord Eyes, Diamond na Ali Kiba… Kutoka @MKasiT----->>






Mkasi EcEJayy
Ukiisikia chorus ya wimbo wa ‘Mfalme‘ ya Mwana FA, au ‘Mama Yeyoo‘- Feat. Ben Pol,hizo ni baadhi ya nyimbo ambazo zinakuonesha ukubwa wa kipaji na aina ya kipekee ya muziki anaoufanya G Nako, jamaa ambaye ni mmoja ya members wanaowakilisha Kundi la Weusi.
Amesikika kwenye show ya MKASI leo March 9, kazungumzia vingi, ikiwemo ile story yaLord Eyez kusimamishwa ikihusishwa na dawa za kulevya, pia anachokiona kwa sasa kuhusu Diamond na Ali Kiba; “Ni kweli alisimamishwa lakini hakisumamishwa kutokana na habari ambazo watu wanazisema za kutumia madawa ya kulevya
Kuhusu ishu ya kinachoongelewa kutokuwepo maelewano kati ya Diamond na Ali Kiba; “Mimi naona kabisa jinsi ambavyo Diamond na Ali Kiba hawana shida yoyote.. Isipokuwa wao wenyewe kwenye macho ya watu wengine na namna ambavyo watu wengine wanawawekea wenyewe macho. Sio kitu sahihi ambacho tunakihitaji kwa sasa kwenye muziki.. sidhani kama kinamfaidisha yoyote kati ya Ali Kiba na Diamond
Utaipata yote kwenye show ya Mkasi time yoyote ikiwekwa kwenye youtube channel>> MkasiTV
mKASI iii
Mkasi HV




Mkasi I
mkasihhh
Mkasiir
mks