Friday, March 13, 2015 Anti Ezekiel awa mama kwa mara ya kwanza, azaa na Dancer wa Diamond.--->>> Anti Ezekiel awa mama kwa mara ya kwanza, azaa na Dancer wa Diamond. Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii wa Bongo Movie anaejulikana kwa jina la Aunty Ezekiel ameweza kuweka kipande kifupi akiwa hosp baada ya kutoka kujifungua, bado hatujajua ni mtoto wa kiume au wa kike. Tazama video hapa chini TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Anti Ezekiel awa mama kwa mara ya kwanza, azaa na Dancer wa Diamond. Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii wa Bongo Movie anaejulikana kwa jina la Aunty Ezekiel ameweza kuweka kipande kifupi akiwa hosp baada ya kutoka kujifungua, bado hatujajua ni mtoto wa kiume au wa kike. Tazama video hapa chini