YAMOTO BAND aka MKUBWA NA WANAWE KWENYE UZINDUZI WA VIDEO YA "NITAKUPWELEPWETA" NDANI YA MAISHA CLU




Siku ya Jumapili ya tarehe 4 January 2015 yamoto band walifanya uzinduzi wa video yao mpya inayokwenda kwa jina la Nitakupwelepweta ndani ya  new maisha club.

 Show ilikuwa balaaa na kama ilivyo kawaida yake Mlezi na mkurugenzi Mkuu wa kikundi hindo Said Fella aka Mkubwa Fella kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika haya machache kuwashukuru wadau waliohudhuria uzinduzi huo
"Shukran sana kwa wote mliojitokeza kuwasupport vijana wetu Yamoto_Band pale Maisha_Club jana... hakika bila nyinyi wasingeweza kufika hapa leo... tunaomba Nguvu na support yenu zaidi, ili wazidi kuleta Bururdani sawia...asante sana Chiddi Mapenzikwa mavazi haya!"
Vijana wakiwa kazini Picha zinajieleza wenyewe 
Mimi si size yako Nitakupwelepweta Bure...



Yaani kulikuwa hakuna kukaa chini