TAZAMA PICHA ALIZOPOSTI MCHUMBA WA NAY MTANDAONI


Mchumba wa staa wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' , Siwema Edson 'Mama Curtis' amepost leo picha za mahaba akiwa kitandani na mzazi mwenzie huyo


kupitia Account yake ya Instagram.