SOMA KAULI YA TUNDU LISSU HII HAPA


MHE  TUNDU  LISSU


  KAULI  YA  TUNDU  LISU  HII  HAPA CHINI

Serikali inafurahia Watz wawe wajinga wasiojitambua ili uwe mtaji wa ccm kuwadanganya kwa rushwa za sahani ya wali na pombe ili wapate kura za kijinga kisha watawale kijinga.
Sasa ni miaka 54 ya uhuru nchi haina kipaumbele, priority, maono yoyote ya maendeleo bali viongozi mafisadi wanalinda ufisadi na kupiga deal kubwa sana kiasi cha mabilioni na matrioni ya shilingi wakijineemesha na kuishi maisha ya mbinguni duniani ilihali Watz wengi wakiteseka ktk lindi la umasikini hohehahe kupata mlo mmoja kwa kudra za Mungu. Wengi haki ya elimu na hujuma za afya, maji n.k ni ndoto.
Kwahiyo usipokumbuka kuweka nchi yetu ktk maombi iponywe na zimwi la mafisadi wa chama cha mafisadi ccm sala yako kwa mtazamo wangu itakuwa haijamirika.
Tuiombee nchi yetu ili tukamilishe zoezi la ukombozi mwaka huu 2015 tukiwa tumedalirisha uongozi wetu.
Tushirikiane kuwajibika kwani nchi hii bila mimi na wewe na yule kuwajibika ccm wameng'ang'ania kuliko kupe wakitaka waendelee kuibia kupiga deal za escrow nyingine nyingine kesho na kesho tutwa.
Sambaza elimu ya uraia, ujasiri na utayari kujiandikisha na kuoigia kura wagombea wa Chadema na Ukawa kwa ujumla ili ukombozi ukamirishwe kwa masilahi ya Watz.
Mungu akuriki sana...!!
M4C Pamoja Daima
Operation Delete ccm 2015