MBUNGE WA MBEYA MJINI APATA AJALI MLIMA KITONGA

 
Muonekano wa gari la Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' baada ya kupinduka. Mbunge huyo akiwa pembeni kushoto.




Mbunge wa Mbeya Mjini  Joseph Mbilinyi, akiwa na wenzake watatu akiwemo Katibu wake, Kwame Anangise, Eddy na Kiboya wameumia na kukimbizwa hospitali mjini Iringa baada ya gari lao kupata hitilafu ya breki na kupinduka mlima Kitonga l