Na Deogratius Mongela /UWAZI
Akizungumza na Uwazi, Mama Abdul aliyasema hayo muda mfupi baada ya kuisha kwa uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Landmark, Ubungo Riverside ambapo alisikitishwa kutokana na marehemu kuwa mchango mkubwa katika tasnia ya filamu.
“Wasanii wetu ni wanafiki, wanapata wapi jeuri ya kumtenga Mama Kanumba wakati kwenye msiba walikuwa wote? Au tuseme wameona kwenye uzinduzi hakuna namna ya
kupiga dili kama walivyozoea watawakosa watu wa kuwauzia sura.”
kupiga dili kama walivyozoea watawakosa watu wa kuwauzia sura.”
Mama Kanumba( wa tatu kulia) akiwa na wadau waliojitokeza
katika uzinduzi wa kitabu cha Kanumba.
katika uzinduzi wa kitabu cha Kanumba.
“Wamenikera, halafu wakimuona Mama Kanumba wanajifanya kumsalimia kinafiki. Bongo hakuna kama Kanumba waache kujishauwa,” alisema Mama Abdul.