LAIVU BILA CHENGA WEMA SEPETU ANASWA NYUMA YA UKUMBI WA MATEI LOUNGE DODOMA AKIWA NA MENEJA WA .....

Siku ya mkesha wa mwaka mpya kulifanyika Bonge la Party ndani ya Ukumbi wa Matei lounge ambapo team nzuma ya Endeless Fame walikinukisha pande hizo huku kukiwa na maelfu ya wakazi wa Dodoma waliohudhuria Party hiyo..
Katika Party hiyo wema Sepetu alipoingika katika ukumbi wa Matei Lounge alikuwa yuko poa yani namaanisha alikuwa hajagida kilevi chochote...Ila baada ya muda wa kama Nusu saa Madam Wema alionekana kuwa karibu na Meneja wa Boss Ngasa Tz ambaye anajulikana kwa jina la Meneja  Erick Mshana ambapo madam ndio alikuwa anapenda kumwita kila saa..
Paparazi wetu bila hiyana akaendelea kwenda na Muvi..wenyewe wakaitana kimya kimya kwa pembeni yani nyuma ya back stage kilichoendelea huko hakuna aliyeyekijua ila waliingia ndani ya gari mara gafla madam akaibuka huku akiwa amechangamka kwa sana namna ya kupepesuka.... Wema akaanza uchizi wake sasa wakukata mauno back stage akiwa hana hata mshipa wa Aibu... baada ya hapo akapanda stejini Kiukweli madam alipiga bonge la show huku akiwa na mzuka kinoma noma na kumaliza show yake vizuri na baada ya hapo wakaelekea Maisha club ambapo huko nako ilikuwa ni balaa tupu.
Wema sepetu akiwa na Erick Mshana Meneja wa Boss Ngasa Tz