LADY JAYDEE ASHINDA YA TUZO YA WIMBO BORA WA MWAKA

Staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Jide.
Wiki iliyopita zimetolewa tuzo za Bingwa Music Awards nchini Kenya, na staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Jide ndiye msanii pekee wa Tanzania aliyeondoka na tuzo. 



Wimbo wa ‘Yahaya’ wa Lady Jaydee ulichaguliwa kuwa Wimbo Bora wa Afrika Mashariki.
Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo hizo:

Source: Capitalfm.co.ke