Home » Uncategories » Hizi ni picha 6 za muonekano mpya wa Ney wa Mitego 2015
Tuesday, January 13, 2015
Hizi ni picha 6 za muonekano mpya wa Ney wa Mitego 2015
Ney wa Mitego aka the True Boy 2015 naye ni mmoja ya mastaa ambao 2015 wameamua kuianza na muonekano mpya, time hii amekuja na muonekano mpya wa mtindo wa nywele zake.
Nakukaribisha kuziangalia hizi picha 6 mtu wa nguvu.