BREAKING NEWS: SHEHENA YA MILIPUKO YAKAMATWA NDANI YA BASI LA KLM EXPRESS MCHANA HUU

Kwa Taarifa ambazo Bado Hazijathibitishwa Rasmi zinasema kwamba kuna Shehena kubwa ya Milipuko ya hatari inayotumika kutengenezea  Mabomu ya Kuvulia samaki na Kutengenezea Milipuko ya kupasulia Miamba Migumu Imekamatwa Eneo la


Korogwe Mchana Huu Wakati wa Jeshi la Polisi walipokamata Basi la KLM EXP lenye usajili wa namba T491 ARB kwa ajili ya Ukaguzi. Milipuko hiyo ambayo imesafirishwa kwa njia ambayo sio sahihi kutokana na hatari yake ya kuwa kulikuwa na abiria na kama Basi Lingetingishika zaidi Ingeweza Kulipuka .
Taarifa zaidi itakuja hapa.. fuatilia 
Baada ya kukamatwa

 




 Basi Hilo baada ya Kukamatwa 
 




 Milipuko hiyo baada ya kukamatwa mchana huu 
 Askari wa Jeshi la Polisi Katika Kituo cha Korogwe akikagua Milipuko hiyo