WALIO MISS TUKIO LA SWAHILI FASSION 2014 MATUKIO KATIKA PICHA HAYA HAPA!....


Mwamitindo akipitia amevalia nguo za Kiki
Kiki alijitaidi
Mbunifu wa mavazi ambae pia ni mratibu wa onesho la Swahili Fashion 2014, Mustapha Hasanal akimkabidhi tuzo mwanamitindo wa kimataifa Millen Magese yenye kutambua mchango wake katika kusaidia masuala ya kijamii tukio hilo lilifanyika juzi katika onesho la mavazi la Swahili Fashion 
Millen akishukuru
Kiki akichukua tuzo yake baada ya kutajwa kuwa ni Mbunifu wa mwaka