RUSSELL SIMMONS AMSHIKA MKONO TENA FLAVIANA KUITAMBULISHA FLAVIANA MATATA FOUNDATION MAREKANI



tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo1_1280 
Flaviana Matata Mwanamitindo wa kitanzania afanyae shughuli zake za Mitindo Nchini Marekani, Jana alijiunga na rafiki, mshauri, mwekezaji na hip- hop legend , Russell Simmons, Na kuitambulisha rasmi Flaviana Matata Foundation 'FMF' nchini Marekani katika hafla fupi ilofanyika jijini New York City kwenye mgahawa wa Beautique. Nia ikiwa ni kusaidia suala la FMF katika - kuhamasisha , kuwawezesha na kuwasaidia watoto wa Tanzania katika masomo yao - wageni walioudhulia waliburudishwa na cocktail; wengi wakiwa ni models Wilhelmina Models. Kwa habari zaidi juu Flaviana Matata Foundation na jinsi ya kuchangia , bonyeza hapa.   #unamfuatilia Flaviana Matata Instagram: @FlavianaMatataFoundation Twitter:  @FMFound flavianamatatafoundation.org  
tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo2_400  tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo3_400       tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo5_400  tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo6_400  tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo7_400