NI USHINDI MZITO CHADEMA ARUSHA


MHE  LEMA


kauli  ya  MHE  GODBLESS  LEMA  KUPITIA   UKARASA  WAKE  WA  FACEBOOK


Godbless Lema

Endelea kuweka matokeo ya sehemu uliyopo....

Arusha Mjini CHADEMA wameigaragaza
CCM na kuwaacha mbali sana kati ya
mitaa 155 CHADEMA tumenyakua mitaa 110 kabla ya uchaguzi huu tulikuwa na mitaa 7 tu

kule Shinyanga mjini kuna mitaa
55..chadema tumepata 29 na Ccm
wamepata 26.. Kabla ya hapo tulikuwa
na mitaa 10 tu

Singida Mashariki jimbo zima la Tundu Lissu
CHADEMA imeshinda vijiji 41 kati ya vijiji 43
vilivyofanya uchaguzi.

Matokeo kwa Rombo: Vijiji ambavyo matokeo
tayari ni 27 CHADEMA 22, CCM 5
Bado vijiji 40 ambavyo havikufanya uchaguZ