Monday, December 15, 2014
Ni Orijino Komedi kwenye ujio mpya.. Sikiliza show hapa, nimekuwekea na picha.
Show ya kwanza ya kundi la Orijino Komedi imeruka leo, sehemu hii ya kwanza utaisikia sauti na picha za Joti na Mak Regan ambapo Joti anakamatwa na sare ya Askari Polisi, maelezo yake sasa…