Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mhe. Mohammed Gulam Dewji
akisalimiana na wapiga kura kura wake na wananchi wa jimbo la Singida
mjini mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Kibaoni tayari kuzindua
kampeni za CCM uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo la Singida
Mjini.(Picha na Geofrey Mwakibete wa MOblog).
Mbunge wa Singida MO Dewji akipata mapokezi kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni zilizofanyika Kibaoni mjini Singida.
Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mhe. Mohammed Dewji akimnadi mgombe
wa nafasi ya m/kiti wa mtaaa Kibaoni Timotheo Ruben John kwenye
uzinduzi wa kampeni za CCM uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo la
Singida Mjini.
Mbunge wa jimbo la Singda mjini mhe. Mohammed Dewji akizungumza
kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya soko la
zamani la kitongoji mjini hapa.
Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida,
Hassan Philip Mazala, akitoa nasaha zake kwenye uzinduzi wa kampeni za
CCM zilizofanyika Kibaoni mjini hapa.
Mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa mtaa wa Kibaoni Timotheo Ruben
John akiomba kura kwa ajili ya nafasi hiyo, Mjumbe wa halmashauri kuu ya
CCM (NEC) taifa jimbo la Singida mjini Hassan Mazala akifurahia jambo
wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM zilizofanyika jana.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliohudhuria uzinduzi huo wakimsikiliza Mbunge wao