Home » Uncategories » MEMBE AMUAGA BALOZI WA AUSTRALIA NCHINI TANZANIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE
Thursday, December 04, 2014
MEMBE AMUAGA BALOZI WA AUSTRALIA NCHINI TANZANIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe
(Mb.) ameagana na Balozi wa Australia nchini Tanzania Mhe Geoffrey
Tooth ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi nchini.
Waziri Membe akizungumza na Balozi Tooth na kumweleza kuwa wakati wa
kipindi chake cha uwakilishi, uhusiano baina ya nchi hizi mbili
umeimarika. Mhe. Membe pia amemshukuru…
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe
(Mb.) ameagana na Balozi wa Australia nchini Tanzania Mhe Geoffrey
Tooth ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi nchini.
Waziri
Membe akizungumza na Balozi Tooth na kumweleza kuwa wakati wa kipindi
chake cha uwakilishi, uhusiano baina ya nchi hizi mbili umeimarika. Mhe.
Membe pia amemshukuru Balozi Tooth kwa ushirikiano mzuri alioutoa
katika kipindi chote na kusisitiza kuwa Tanzania ni nyumbani kwake sasa
na asisite kurudi nchini kutembea au kwa mapumziko mara apatapo fursa ya
kufanya hivyo. Mazungumzo yakiendelea kushoto wa kwanza ni Katibu wa Tatu wa Ubalozi huo Bi. Freya Carlton. Mkurugenzi
wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairuki akizungumza na Balozi wa
Australia ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini.Picha na
Regin