![]() |
|
WaziriMkuu,
MizengoPinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa
jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar esSalaam.
(Picha Zote: AtuzaNkurlu-SheriaNgowi Brand)
|
![]() |
| Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baadhi ya vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatuka Kumtengenezea Waziri Mkuu jana jijini Dar es Salaam. |


