MATOKEO YA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA ZITTO KABWE ATOA KAULI NZITO!!!!!! EBU ITAZAME HAPA





zitto  kabwe

kauli  ya  zitto  kabwe  kupitia  ukurasa  wake  wa  facebook
Matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika leo tarehe 14 Disemba, 2014 yanaashiria jambo moja kubwa; Watanzania wapo tayari kwa mabadiliko ya kisiasa. Nawapongeza Watanzania wote waliojitokeza kuchagua Viongozi wao leo. Nawapongeza zaidi wote waliochagua wagombea kutoka vyama vya upinzani.