Jenerali
James Kok ambaye ni Mjumbe wa kamati kuu, SPLM, Mbunge , amewahi kuwa
Waziri wa masuala ya kijamiii na bisahara katika serikali ya umoja wa
kitaifa Sudan,SPLM - IG akiwasalimu wananchi wa Masasi. Msafara wa
viongozi hao kutoka Sudani kusini ulifika wilayani Masasi kwa lengo la
kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (mwenye shati la kijani) pamoja na
viongozi wa chama cha SPLM kutoka Sudani Kusini wakiwa wameinua mikono
juu kama ishara ya umoja na mshikamano,Masasi mkoani Mtwara.
Kutoka Kushoto ni Dkt. Cirino Hiteng,Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ,Bw.Goy Jooyul na Jenerali James Kok.
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye mazungumzo na viongozi wa
chama cha SPLM kutoka Sudani ya kusini waliomfuata Masasi mkoani Mtwara
ambapo Katibu Mkuu wa CCM yupo kwenye ziara ya kukijenga na kukiimarisha
chama mkoani Mtwara.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Jenerali James Kok kutoka
chama cha SPLM Sudani ya Kusini ambaye yeye pamoja na viongozi wenzake
wamefika mpaka Masasi kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM